Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Rum 15:26-28

Rum 15:26-28 SUV

maana imewapendeza watu wa Makedonia na Akaya kufanya changizo kwa ajili ya watakatifu huko Yerusalemu walio maskini. Naam, imewapendeza, tena wamekuwa wadeni wao. Kwa maana ikiwa Mataifa wameyashiriki mambo yao ya roho, imewabidi kuwahudumu kwa mambo yao ya mwili. Basi nikiisha kuimaliza kazi hiyo, na kuwatilia muhuri tunda hilo, nitapitia kwenu, kwenda Spania.

Soma Rum 15

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Rum 15:26-28