Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Rum 1:18-20

Rum 1:18-20 SUV

Kwa maana ghadhabu ya Mungu imedhihirishwa kutoka mbinguni juu ya uasi wote na uovu wa wanadamu waipingao kweli kwa uovu. Kwa kuwa mambo ya Mungu yanayojulikana yamekuwa dhahiri ndani yao, kwa maana Mungu aliwadhihirishia. Kwa sababu mambo yake yasiyoonekana tangu kuumbwa ulimwengu yanaonekana, na kufahamika kwa kazi zake; yaani, uweza wake wa milele na Uungu wake; hata wasiwe na udhuru

Soma Rum 1

Video for Rum 1:18-20

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Rum 1:18-20