Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufu 8:10-11

Ufu 8:10-11 SUV

Malaika wa tatu akapiga baragumu, nyota kubwa ikaanguka kutoka mbinguni, iliyokuwa ikiwaka kama taa, ikaanguka juu ya theluthi ya mito, na juu ya chemchemi za maji. Na jina lake ile nyota yaitwa Pakanga; theluthi ya maji ikawa pakanga, na wanadamu wengi wakafa kwa maji hayo, kwa kuwa yalitiwa uchungu.

Soma Ufu 8

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufu 8:10-11