Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufu 12:3-4

Ufu 12:3-4 SUV

Ikaonekana ishara nyingine mbinguni; na tazama, joka kubwa jekundu, alikuwa na vichwa saba na pembe kumi, na juu ya vichwa vyake vilemba saba. Na mkia wake wakokota theluthi ya nyota za mbinguni, na kuziangusha katika nchi. Na yule joka akasimama mbele ya yule mwanamke aliye tayari kuzaa, ili azaapo, amle mtoto wake.

Soma Ufu 12

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufu 12:3-4