Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 118:1-4

Zab 118:1-4 SUV

Haleluya. Mshukuruni BWANA kwa kuwa ni mwema, Kwa maana fadhili zake ni za milele. Israeli na aseme sasa, Ya kwamba fadhili zake ni za milele. Mlango wa Haruni na waseme sasa, Ya kwamba fadhili zake ni za milele. Wamchao BWANA na waseme sasa, Ya kwamba fadhili zake ni za milele.

Soma Zab 118