Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 106:4-5

Zab 106:4-5 SUV

Ee BWANA, unikumbuke mimi, Kwa kibali uliyo nayo kwa watu wako. Unijilie kwa wokovu wako, Ili niuone wema wa wateule wako. Nipate kuifurahia furaha ya taifa lako, Na kujisifu pamoja na watu wako.

Soma Zab 106

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 106:4-5