Zab 105:42-43
Zab 105:42-43 SUV
Maana alilikumbuka neno lake takatifu, Na Ibrahimu, mtumishi wake. Akawatoa watu wake kwa shangwe, Na wateule wake kwa nyimbo za furaha.