Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mit 10:4-5

Mit 10:4-5 SUV

Atendaye mambo kwa mkono mlegevu huwa maskini; Bali mkono wake aliye na bidii hutajirisha. Akusanyaye wakati wa hari ni mwana mwenye hekima; Bali asinziaye wakati wa mavuno ni mwana mwenye kuaibisha.

Soma Mit 10