YouVersion Logo
Search Icon

Mk 13:32, 33, 34, 35, 36

Mk 13:32 SUV

Walakini habari ya siku ile na saa ile hakuna aijuaye, hata malaika walio mbinguni, wala Mwana, ila Baba.

Mk 13:33 SUV

Angalieni, kesheni, [ombeni], kwa kuwa hamjui wakati ule utakapokuwapo.

Mk 13:34 SUV

Mfano wake ni kama mtu mwenye kusafiri, ameiacha nyumba yake, amewapa watumwa wake amri, na kila mtu kazi yake, naye amemwamuru bawabu akeshe.

Mk 13:35 SUV

Kesheni basi, kwa maana hamjui ajapo bwana wa nyumba, kwamba ni jioni, au kwamba ni usiku wa manane, au awikapo jimbi, au asubuhi

Mk 13:36 SUV

asije akawasili ghafula akawakuta mmelala.