Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mk 10:6-8

Mk 10:6-8 SUV

Lakini tangu mwanzo wa kuumbwa ulimwengu, aliwafanya mume na mke. Kwa sababu hiyo mtu atamwacha babaye na mamaye, ataambatana na mkewe; na hao wawili watakuwa mwili mmoja; hata wamekuwa si wawili tena, bali mwili mmoja.

Soma Mk 10

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mk 10:6-8