Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mt 24:37-39

Mt 24:37-39 SUV

Kwa maana kama vile ilivyokuwa siku za Nuhu, ndivyo kutakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Adamu. Kwa kuwa kama vile siku zile zilizokuwa kabla ya Gharika watu walivyokuwa wakila, na kunywa, wakioa na kuolewa, hata siku ile aliyoingia Nuhu katika safina, wasitambue, hata Gharika ikaja, ikawachukua wote, ndivyo kutakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Adamu.

Soma Mt 24

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mt 24:37-39