Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mt 23:23

Mt 23:23 SUV

Ole wenu waandishi na Mafarisayo, wanafiki! Kwa kuwa mnalipa zaka za mnanaa na bizari na jira, lakini mmeacha mambo makuu ya sheria, yaani, adili, na rehema, na imani; hayo imewapasa kuyafanya, wala yale mengine msiyaache.

Soma Mt 23

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mt 23:23