Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Lk 16:23-24

Lk 16:23-24 SUV

Basi, kule kuzimu aliyainua macho yake, alipokuwa katika mateso, akamwona Ibrahimu kwa mbali, na Lazaro kifuani mwake. Akalia, akasema, Ee baba Ibrahimu, nihurumie, umtume Lazaro achovye ncha ya kidole chake majini, auburudishe ulimi wangu; kwa sababu ninateswa katika moto huu.

Soma Lk 16

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Lk 16:23-24