Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Lk 14:28-30

Lk 14:28-30 SUV

Maana ni nani katika ninyi, kama akitaka kujenga mnara, asiyeketi kwanza na kuhesabu gharama, kwamba anavyo vya kuumalizia? Asije akashindwa kuumaliza baada ya kuupiga msingi, watu wote waonao wakaanza kumdhihaki, wakisema, Mtu huyu alianza kujenga, akawa hana nguvu za kumaliza.

Soma Lk 14

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Lk 14:28-30