YouVersion Logo
Search Icon

Lk 1:2, 3, 4

Lk 1:2 SUV

kama walivyotuhadithia wale waliokuwa mashahidi wenye kuyaona, na watumishi wa lile neno tokea mwanzo

Lk 1:3 SUV

nimeona vema mimi nami, kwa kuwa nimejitafutia usahihi wa mambo hayo yote tangu mwanzo, kukuandikia kwa taratibu, Theofilo mtukufu

Lk 1:4 SUV

upate kujua hakika ya mambo yale uliyofundishwa.