Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yn 5:7-9

Yn 5:7-9 SUV

Yule mgonjwa akamjibu, Bwana, mimi sina mtu wa kunitia birikani, maji yanapotibuliwa; ila wakati ninapokuja mimi, mtu mwingine hushuka mbele yangu. Yesu akamwambia, Simama, jitwike godoro lako, uende. Mara yule mtu akawa mzima, akajitwika godoro lake, akaenda. Nayo ilikuwa ni sabato siku hiyo.

Soma Yn 5

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yn 5:7-9