Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yn 21:18-19

Yn 21:18-19 SUV

Akasema, Amin, amin, nakuambia, Wakati ulipokuwa kijana, ulikuwa ukijifunga mwenyewe na kwenda utakako; lakini utakapokuwa mzee, utainyosha mikono yako, na mwingine atakufunga na kukuchukua usikotaka. Akasema neno hilo kwa kuonyesha ni kwa mauti gani atakayomtukuza Mungu. Naye akiisha kusema hayo akamwambia, Nifuate.

Soma Yn 21

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yn 21:18-19