Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yn 16:22-23

Yn 16:22-23 SUV

Basi ninyi hivi sasa mna huzuni; lakini mimi nitawaona tena; na mioyo yenu itafurahi, na furaha yenu hakuna awaondoleaye. Tena siku ile hamtaniuliza neno lo lote. Amin, amin, nawaambia, Mkimwomba Baba neno lo lote atawapa kwa jina langu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yn 16:22-23