Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yn 12:49-50

Yn 12:49-50 SUV

Kwa sababu mimi sikunena kwa nafsi yangu tu; bali Baba aliyenipeleka, yeye mwenyewe ameniagiza nitakayonena na nitakayosema. Nami najua ya kuwa agizo lake ni uzima wa milele; basi hayo ninenayo mimi, kama Baba alivyoniambia, ndivyo ninenavyo.

Soma Yn 12

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yn 12:49-50