Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yn 10:17-18

Yn 10:17-18 SUV

Ndiposa Baba anipenda, kwa sababu nautoa uhai wangu ili niutwae tena. Hakuna mtu aniondoleaye, bali mimi nautoa mwenyewe. Nami ninao uweza wa kuutoa, ninao na uweza wa kuutwaa tena. Agizo hilo nalilipokea kwa Baba yangu.

Soma Yn 10

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yn 10:17-18