Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yak 4:13-15

Yak 4:13-15 SUV

Haya basi, ninyi msemao, Leo au kesho tutaingia katika mji fulani na kukaa humo mwaka mzima, na kufanya biashara na kupata faida; walakini hamjui yatakayokuwako kesho. Uzima wenu ni nini? Maana ninyi ni mvuke uonekanao kwa kitambo, kisha hutoweka. Badala ya kusema, Bwana akipenda, tutakuwa hai na kufanya hivi au hivi.

Soma Yak 4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yak 4:13-15