Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yak 3:13-14

Yak 3:13-14 SUV

N’nani aliye na hekima na ufahamu kwenu? Na aonyeshe kazi zake kwa mwenendo wake mzuri, katika upole wa hekima. Lakini, mkiwa na wivu wenye uchungu na ugomvi mioyoni mwenu, msijisifu, wala msiseme uongo juu ya kweli.

Soma Yak 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yak 3:13-14