Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isa 40:3-5

Isa 40:3-5 SUV

Sikiliza, ni sauti ya mtu aliaye, Itengenezeni nyikani njia ya BWANA; Nyosheni jangwani njia kuu kwa Mungu wetu. Kila bonde litainuliwa, Na kila mlima na kilima kitashushwa; Palipopotoka patakuwa pamenyoka, Na palipoparuza patasawazishwa; Na utukufu wa BWANA utafunuliwa, Na wote wenye mwili watauona pamoja; Kwa kuwa kinywa cha BWANA kimenena haya.

Picha za Aya za Isa 40:3-5

Isa 40:3-5 - Sikiliza, ni sauti ya mtu aliaye,
Itengenezeni nyikani njia ya BWANA;
Nyosheni jangwani njia kuu kwa Mungu wetu.
Kila bonde litainuliwa,
Na kila mlima na kilima kitashushwa;
Palipopotoka patakuwa pamenyoka,
Na palipoparuza patasawazishwa;
Na utukufu wa BWANA utafunuliwa,
Na wote wenye mwili watauona pamoja;
Kwa kuwa kinywa cha BWANA kimenena haya.Isa 40:3-5 - Sikiliza, ni sauti ya mtu aliaye,
Itengenezeni nyikani njia ya BWANA;
Nyosheni jangwani njia kuu kwa Mungu wetu.
Kila bonde litainuliwa,
Na kila mlima na kilima kitashushwa;
Palipopotoka patakuwa pamenyoka,
Na palipoparuza patasawazishwa;
Na utukufu wa BWANA utafunuliwa,
Na wote wenye mwili watauona pamoja;
Kwa kuwa kinywa cha BWANA kimenena haya.