Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Hag 2:4

Hag 2:4 SUV

Lakini sasa uwe hodari, Ee Zerubabeli, asema BWANA; nawe uwe hodari, Ee Yoshua, mwana wa Yehosadaki, kuhani mkuu, nanyi iweni hodari, enyi watu wote wa nchi hii, asema BWANA; mkafanye kazi, kwa kuwa mimi ni pamoja nanyi, asema BWANA wa majeshi

Soma Hag 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Hag 2:4