Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwa 24:3-4

Mwa 24:3-4 SUV

nami nitakuapisha kwa BWANA, Mungu wa mbingu, na Mungu wa nchi, kwamba hutamtwalia mwanangu mke katika binti za Wakanaani ambao nakaa kati yao; bali enenda hata nchi yangu, na kwa jamaa zangu, ukamtwalie mwanangu Isaka mke.

Soma Mwa 24

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwa 24:3-4