Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwa 24:14

Mwa 24:14 SUV

basi na iwe hivi; yule msichana nitakayemwambia, Tua mtungi wako, nakuomba, ninywe; naye akasema, Unywe, nami nitawanywesha na ngamia zako pia; basi huyu na awe ndiye uliyemchagulia mtumishi wako Isaka; na kwa hayo nitajua ya kuwa umemfadhili bwana wangu.

Soma Mwa 24

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwa 24:14