Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mdo 9:4-5

Mdo 9:4-5 SUV

Akaanguka chini, akasikia sauti ikimwambia, Sauli, Sauli, mbona waniudhi? Akasema, U nani wewe, Bwana? Naye akasema, Mimi ndimi Yesu unayeniudhi wewe.

Soma Mdo 9

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mdo 9:4-5