Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mdo 7:59-60

Mdo 7:59-60 SUV

Wakampiga kwa mawe Stefano, naye akiomba, akisema, Bwana Yesu, pokea roho yangu. Akapiga magoti, akalia kwa sauti kuu, Bwana, usiwahesabie dhambi hii. Akiisha kusema haya akalala. Na Sauli alikuwa akiona vema kwa kuuawa kwake.

Soma Mdo 7

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mdo 7:59-60