Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mdo 3:7-8

Mdo 3:7-8 SUV

Akamshika mkono wa kuume, akamwinua, mara nyayo zake na vifundo vya miguu yake vikatiwa nguvu. Akaondoka upesi akasimama, akaanza kwenda; akaingia ndani ya hekalu pamoja nao, akienda, akiruka-ruka, na kumsifu Mungu.

Soma Mdo 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mdo 3:7-8