Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mdo 27:9-10

Mdo 27:9-10 SUV

Na wakati mwingi ulipokwisha kupita, na safari ikiwa ina hatari sasa, kwa sababu siku za kufunga zilikuwa zimekwisha kupita, Paulo akawaonya, akawaambia, Wanaume, naona kwamba safari hii itakuwa na madhara na hasara nyingi, si ya shehena na merikebu tu, ila na ya maisha yetu pia.

Soma Mdo 27

Video for Mdo 27:9-10

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mdo 27:9-10