Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mdo 14:9-10

Mdo 14:9-10 SUV

Mtu huyo alimsikia Paulo alipokuwa akinena; ambaye akamkazia macho na kuona ya kuwa ana imani ya kuponywa, akasema kwa sauti kuu, Simama kwa miguu yako sawasawa. Akasimama upesi akaenda.

Soma Mdo 14

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mdo 14:9-10

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha