Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Sam 6:18-19

2 Sam 6:18-19 SUV

Kisha Daudi alipokwisha kutoa sadaka ya kuteketezwa na sadaka za amani akawabarikia watu kwa jina la BWANA wa majeshi. Akawagawia watu wote, mkutano wote wa Israeli, wanaume kwa wanawake, kila mtu mkate wa ngano, na kipande cha nyama, na mkate wa zabibu. Basi watu wote wakaenda zao, kila mtu nyumbani kwake.

Soma 2 Sam 6

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Sam 6:18-19