Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Kor 8:7-9

2 Kor 8:7-9 SUV

Lakini kama mlivyo na wingi wa mambo yote; imani, na usemi, na elimu, na bidii yote, na upendo wenu kwetu sisi; basi vivyo hivyo mpate wingi wa neema hii pia. Sineni ili kuwaamuru, bali kwa bidii ya watu wengine nijaribu unyofu wa upendo wenu. Maana mmejua neema ya Bwana wetu Yesu Kristo, jinsi alivyokuwa maskini kwa ajili yenu, ingawa alikuwa tajiri, ili kwamba ninyi mpate kuwa matajiri kwa umaskini wake.

Soma 2 Kor 8

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Kor 8:7-9