Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Nya 20:1-2

2 Nya 20:1-2 SUV

Ikawa baadaye, wana wa Moabu, na wana wa Amoni, na pamoja nao baadhi ya Wameuni, wakaja juu ya Yehoshafati vitani. Wakaja watu waliomwambia Yehoshafati, wakisema, Wanakuja jamii kubwa juu yako watokao Shamu toka ng’ambo ya bahari; na tazama, wako katika Hasason-tamari (ndio En-gedi).

Soma 2 Nya 20

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Nya 20:1-2