Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Nya 1:11-12

2 Nya 1:11-12 SUV

Naye Mungu akamwambia Sulemani, Kwa sababu neno hili lilikuwamo moyoni mwako, wala hukujitakia mali, wala utajiri, wala utukufu, wala maisha za wakuchukiao, wala hukujitakia maisha ya siku nyingi; bali umejitakia hekima na maarifa, upate kuwahukumu watu wangu, niliokutawaza juu yao; basi hekima na maarifa umepewa; nami nitakupa mali, na utajiri, na utukufu, kupita walivyokuwa navyo wafalme wote waliokuwa kabla yako, wala baada yako hapatakuwa na mtu atakayekuwa navyo.

Soma 2 Nya 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 2 Nya 1:11-12