Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Tim 2:9-10

1 Tim 2:9-10 SUV

Vivyo hivyo wanawake na wajipambe kwa mavazi ya kujisitiri, pamoja na adabu nzuri, na moyo wa kiasi; si kwa kusuka nywele, wala kwa dhahabu na lulu, wala kwa nguo za thamani; bali kwa matendo mema, kama iwapasavyo wanawake wanaoukiri uchaji wa Mungu.

Soma 1 Tim 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Tim 2:9-10