Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Sam 22:1-2

1 Sam 22:1-2 SUV

Basi Daudi akaondoka huko, akakimbilia pango la Adulamu; na ndugu zake na watu wote wa mbari ya baba yake waliposikia habari hiyo, wakamwendea huko. Na kila mtu aliyekuwa katika hali ya dhiki, na kila mtu aliyekuwa na deni, na watu wote wenye uchungu mioyoni mwao, wakakusanyika kwake; naye akawa jemadari wao; nao waliokuwa pamoja naye walipata kama watu mia nne.

Soma 1 Sam 22

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Sam 22:1-2