Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Sam 19:9-10

1 Sam 19:9-10 SUV

Tena ikawa, roho mbaya kutoka kwa BWANA ilimjilia Sauli, hapo alipoketi ndani ya nyumba yake, akiwa na mkuki wake mkononi mwake; naye Daudi alikuwa akipiga kinubi kwa mkono wake. Sauli akajaribu kumpiga Daudi hata ukutani kwa mkuki wake, ila yeye akaponyoka kutoka mbele ya Sauli, nao huo mkuki akaupiga ukutani; naye Daudi akakimbia, akaokoka usiku ule.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Sam 19:9-10