Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Sam 19:1-2

1 Sam 19:1-2 SUV

Kisha Sauli akasema na mwanawe Yonathani, tena na watumishi wake wote, kwamba wamwue Daudi. Lakini huyo Yonathani, mwana wake Sauli, alikuwa akipendezwa sana na Daudi. Basi Yonathani akamwambia Daudi, akasema, Sauli, baba yangu, anatafuta kukuua; basi, nakusihi, ujiangalie sana asubuhi, ukae mahali pa siri na kujificha

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Sam 19:1-2