Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Kor 3:5-8

1 Kor 3:5-8 SUV

Basi Apolo ni nani? Na Paulo ni nani? Ni wahudumu ambao kwao mliamini; na kila mtu kama Bwana alivyompa. Mimi nilipanda, Apolo akatia maji; bali mwenye kukuza ni Mungu. Hivyo, apandaye si kitu, wala atiaye maji, bali Mungu akuzaye. Basi yeye apandaye, na yeye atiaye maji ni wamoja, lakini kila mtu atapata thawabu yake mwenyewe sawasawa na taabu yake mwenyewe.

Soma 1 Kor 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Kor 3:5-8