Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Kor 1:11-13

1 Kor 1:11-13 SUV

Kwa maana, ndugu zangu, nimearifiwa habari zenu na wale walio wa nyumbani mwa Kloe, ya kwamba iko fitina kwenu. Basi, maana yangu ni hii, ya kwamba kila mtu wa kwenu kusema, Mimi ni wa Paulo, na, Mimi ni wa Apolo, na, Mimi ni wa Kefa, na, Mimi ni wa Kristo. Je! Kristo amegawanyika? Je! Paulo alisulibiwa kwa ajili yenu? Au je! Mlibatizwa kwa jina la Paulo?

Soma 1 Kor 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Kor 1:11-13