Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Warumi 6:1-2

Warumi 6:1-2 NEN

Tuseme nini basi? Je, tuendelee kutenda dhambi ili neema ipate kuongezeka? La hasha! Sisi tulioifia dhambi, tutawezaje kuendelea kuishi tena katika dhambi?

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Warumi 6:1-2