Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Warumi 12:6-8

Warumi 12:6-8 NEN

Tuna karama zilizotofautiana kila mmoja kutokana na neema tuliyopewa. Kama ni unabii na tutoe unabii kwa kadiri ya imani. Kama ni kuhudumu na tuhudumu, mwenye kufundisha na afundishe, kama ni kutia moyo na atie moyo, kama ni kuchangia kwa ajili ya mahitaji ya wengine na atoe kwa ukarimu, kama ni uongozi na aongoze kwa bidii, kama ni kuhurumia wengine na afanye hivyo kwa furaha.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Warumi 12:6-8