Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Warumi 1:1-2

Warumi 1:1-2 NEN

Paulo, mtumishi wa Kristo Yesu, aliyeitwa kuwa mtume na kutengwa kwa ajili ya Injili ya Mungu, Injili ambayo Mungu alitangulia kuiahidi kwa vinywa vya manabii wake katika Maandiko Matakatifu

Video for Warumi 1:1-2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Warumi 1:1-2