Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 8:13

Ufunuo 8:13 NEN

Nilipokuwa tena nikitazama, nikamsikia tai mmoja akipiga kelele kwa sauti kuu wakati akiruka katikati ya mbingu, akisema, “Ole! Ole! Ole wa watu waishio duniani, kwa sababu ya tarumbeta ambazo malaika hao wengine watatu wanakaribia kuzipiga!”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 8:13