Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 8:10-11

Ufunuo 8:10-11 NEN

Malaika wa tatu akaipiga tarumbeta yake, na nyota kubwa iliyokuwa ikiwaka kama taa ikaanguka toka angani, ikaangukia theluthi ya mito na chemchemi za maji. Nyota hiyo inaitwa Uchungu. Theluthi ya maji yakawa machungu na watu wengi wakafa kutokana na maji hayo kwa maana yalikuwa machungu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 8:10-11