Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 91:10-12

Zaburi 91:10-12 NEN

basi hakuna madhara yatakayokupata wewe, hakuna maafa yataikaribia hema yako. Kwa kuwa atawaagiza malaika zake kwa ajili yako, wakulinde katika njia zako zote. Mikononi mwao watakuinua, ili usijikwae mguu wako kwenye jiwe.