Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 69:1-3

Zaburi 69:1-3 NEN

Ee Mungu, niokoe, kwa maana maji yamenifika shingoni. Ninazama kwenye vilindi vya matope, pasipo mahali pa kukanyaga, Nimefika kwenye maji makuu, mafuriko yamenigharikisha. Nimechoka kwa kuomba msaada, koo langu limekauka. Macho yangu yanafifia, nikimtafuta Mungu wangu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 69:1-3