Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 10:4-5

Mithali 10:4-5 NEN

Mikono mivivu hufanya mtu kuwa maskini lakini mikono yenye bidii huleta utajiri. Yeye akusanyaye mazao wakati wa kiangazi ni mwana mwenye hekima, lakini yeye alalaye wakati wa mavuno ni mwana mwenye kuaibisha.