Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 1:32-33

Mithali 1:32-33 NEN

Kwa kuwa ukaidi wa wajinga utawaua, nako kuridhika kwa wajinga kutawaangamiza. Lakini yeyote anisikilizaye ataishi kwa usalama, atatulia, bila kuwa na hofu ya madhara.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mithali 1:32-33